Warembo wawili ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja wakazi wa jijini Dar es Salaam, hivi karibuni walinaswa wakifanya vitendo vya kifirauni hadharani bila kuhofia umati wa watu uliokuwa ukiwatazama.
Tukio hilo la aibu lilinaswa na paparazi wetu ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya Travertine uliopo Magomeni jijini Dar es Salaam
Hapo akimzaba kakofi kwa nguvu kwa nyuma na ilihali mwanamke akiwa amechuchumaa utamu hurudi nyuma... na kumsababishia maumivu ambayo mwisho wa siku mwanamke alisikika akilalamika unaniumiza "k" na kuamua amchenjie
Kama hiyo haitoshi, demu huyo‘ alifikia hatua ya ‘kumchojoa’ mwenzake kitendo kilichowafanya watu waliokuwa wakiwakodolea macho kupigwa na butwaa.
“Jamani dunia imekwisha, hawa akina dada wanafanya mambo gani haya mbele za watu? Hii yote pombe, ama kweli pombe si togwa,” alisikika dada mmoja akimwambia rafiki yake
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni