Jumapili, 22 Juni 2014

KAMA UPENDI UDAKU ISHIA HAPA: HAYA NDIO MAISHA YA MASOGANGE HUKO SAUZI [PICHA NA VIDEO



Umecheki unywele huo.....

Kama navyojua BIDADA Agnes Gerald aka Masogange...yupo SAUZI kimaisha zaidi.....Ila kama kawa kupitia mtandao wa kijamii wa INSTAGRAM tuponae pamoja....Sasa leo katika UDAKUZI wangu na kufuatilia nyendo za BIDADA huyu huko INSTA kunakitu nimekiona.....Bila shaka kwasasa BIDADA huyu anaishi maisha bora kabisa pengine toka azaliwa hakuwahi KUYAEKSIPIRIENSI..
..Kuanzia nyumba, misiso, mavazi, usafiri na hata maAUTINGI,....ukitembelea ukurasa wake utakubaliana na mimi...Kiukweli BIDADA ameng'ara ile mbaya......Yeah siunajua tena INSTA ndio sehemu ya kuoshea...teteteteeh...Sasa zitazame picha hizi alizo post JANA tu...pamoja na Short Video Clip...Then utajua!!!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni