Jumba hilo lina vyumba vya kulala 8, sehemu 6 za kuegesha magari, mabafu
9, gym,bwawa kubwa la kuogelea,maporomoko ya maji na sehemu nyingine.
Jumla eneo zima la nyumba lina square feet karibia 14,000.
Hicho ndicho alichofanya Dr Dre baada ya kupata pesa nyingi kutokana na dili la Beats, wewe ungefanya nini?
Hicho ndicho alichofanya Dr Dre baada ya kupata pesa nyingi kutokana na dili la Beats, wewe ungefanya nini?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni