Team Ukweli watalamu wakurekebisha tabia za Mastaa wetu wa bongo wanaofanya wajuaji na mambo ya kipuzi... Team hii kazi yao ni kuwachana tu mastaa... hii hapa ya leo wameamka na Anty Ezekiel na kuanza kumchambua kuwa baada ya Mumewe kufungwa sasa Anadai talaka ili apuyange vizuri.. Sitaki nikumalizie uhondo fwatilia mwenyewe hapo vizuri
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni