Jumapili, 8 Juni 2014

DIAMOND & WEMA WAFUNIKA RED CARPERT MTV

Diamond na Wema wakipiga picha za Red Carpet katika tuzo za MTV zilizoendelea usiku wa jana mjini Durban South Afrika, wadau wamempongeza designer wao kwa mavazi mazuri yaliyo match vizuri, kuanzia nguo hadi saa na bangili za mkono. NI SUPERB!


Picha na mtandao

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni