Hii ni listi ya wachumba na wake bomba zaidi wa wachezaji 11 watakaitikisa kwenye kombe la dunia 2014
Siku tatu kutoka sasa, wachezaji bora duniani wataanza vita ya kugombea kombe kubwa kwenye ulimwengu wa soka – Kombe la dunia.
Lakini wakati kwenye World Cup tutashuhudia vipaji vya mastaa wa soka
ulimwenguni vikishindana, kwa upande mwingine tutashuhudia mashindano ya
urembo wa wenza wao.
Hii ni listi ya wachumba na wake bomba zaidi wa wachezaji 11 watakaitikisa kwenye kombe la dunia 2014:
1: IRINA SHAYK (MCHUMBA WA CRISTIANO RONALDO)
2: SHAKIRA (MCHUMBA WA GERARD PIQUE WA SPAIN)
Shakira na Pique
walikutana mwaka 2010 wakati wakirekodi video ya wimbo wa WakaWaka na
mapenzi yakazaliwa – hivi sasa wana mtoto mwenye miaka miwili.
3: FANNY NEGUESHA (MCHUMBA WA MARIO BALOTELLI)
Japokuwa mahusiano
yao yamekuwa si imara lakini Fanny amekuwa mchumba anayemsapoti mpenzi
wake Balotelli – mara ya mwisho kwenye michuano ya kombe la mabara –
Neguesha alikwenda Brazil kumshangilia Balotelli na timu yake ya taifa
ya Italy.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni