Kuhusu Tatoo ya Nuh Mziwanda yenye jina la Shilole iliyozua utata mtaani.
Kuna
aina nyingi sana za mapenzi ambazo watu wanatumia kuonyesha hisia zao
kali kwa wapenzi wao,lakini kwa hii imeonekana ni tofauti kwa Nuh
Mziwanda ambaye Nuh kaamua kujichora tatoo yenye jina la Shilole
mkononi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni