Picha 14 za redcarpet ya MTV Awards,Diamond na Wema backstage na muonekano wa ukumbi
Hapa kuna picha 14 za red carpet ambapo Wema na
Diamond walipota pamoja. Utaweza kuona picha za backstage na muonekano
wa stage ya show.
Zaidi ya hapo kuna picha za Trey Songs,Davido,French Montana na wengine
wengi. Endelea kufuatialia millardayo.com tutaendelea kukupa taarifa ya
kinachojiri.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni