Jumatatu, 2 Juni 2014

MREMBO KUTOKA COLLEGE YA INFORMATICS-UDOM AKWAA SHAVU LA MISS DODOMA!!,MIPANGO,CBE,ST. JOHN WACHEMSHA!! CHEKI PICHA ZA MATUKIO YOTE ILIVYOKUWA VITOVU NJE NJE!!!

Adelaida Seenga mshindi wa Miss Dodoma 2014 akiwa na washindi wenzake, Wagesa Mshindi wa pili kulia pamoja a Linda mshindi wa tatu kushoto.


Adelaida Seenga akiwa katika pozi la furaha mara baada ya kutangazwa kuwa Mshindi.


Hatimaye mashindano ya kumtafuta mrembo wa Dodoma mwaka 2014 yamefanyika usiku wa kuamkia leo tarehe 31.05.2014 katika ukumbi mpya wa Kilimani Landmark ambapo mshindi wa mwaka huu Adelaida Seenga ndiye aliyeibuka kidedea wa mashindano hayo yaliyoshirikisha warembo wapatao 16 toka sehemu mbalimbali za mkoa wa Dodoma.



Watu waliojitokeza katika mashindano hayo walionesha kuridhishwa na matokeo kwani hapakutokea malalamiko yoyote toka kwa mashabiki na badala yake ukumbi mzima ulilipuka kwa kelele za shangwe kuonesha kuwa walikuwa wamemtegemea mshindi aliyetajwa. 

Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na warembo



Warembo wote wakiwa katika picha ya pamoja na washindi
Tazama Picha zaidi katika fainali hizo..........

































Hakuna maoni:

Chapisha Maoni