SHILOLE NOMA SANAA! UMEONA VIDEO HII YA UTATAAAA ALIYOWEKA INSTAGRAM???
Baada ya miezi michache iliyopita mrembo elizabeth michael kutuonyesha
ujuzi wake akiwa gym sasa hivi ni zamu ya mwanadada shilole baada ya
kuachia video akiwa gym huku akifanya yake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni