Jumatatu, 2 Juni 2014

IRENE UWOYA AONYESHA MAPENZI HADHARANI KWA KUNYONYWA MATE NA MTU WAKE





Msanii kutoka Tanzania House of Talent Msami Giovanni ambaye kwa wakati huuana hit na ngoma yake ya Sound Track kwa wakati huu inasemekana eti yuko katika dimbwi zito la mahaba na muigizaji maarufu wa Bongo Movie Irene Uwoya
 Baada ya kuulizwa Msami mwenyewe, alikataa kujihusisha kimapenzi na Uwaoya lakini girlfriend wake ambae wamegombana kwa sasa juu ya swalahilo, amefunguka yote.

Rehema ambaye pia ni Dancer mkali sana maarufu akatiririka kuwa ni kweli taarifa hizo anazo ila ana uhakika Msami atarudi kwake wala hana Wivu na Uwoya
na anachofahamu Irene Uwoya alimlaghai Msami kwa kumwambia  anataka kuwa meneja wake kwa kuusimamia muziki wa Msami, sasa tangia hapo wawili hao wakazama kwenye Dimbwi zito la mahaba



 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni