Jumanne, 3 Juni 2014

POST YA DIAMOND BET YAZIDI KUPATA UMAARUFU, LIKES, SHARED NA COMMENTS ZAONGEZEKA.

Kupitia kurasa ya Facebook ya kituo cha BET wameweka picha na tangazo kama njia ya kumpa msanii nguvu na ushirikiano kutoka kwa watu tofauti duniani.
Post ya BET Inasema ” Diamond Platnumz is hoping to take home the award for Best International Act: Africa at the #BETAwards this year. SHARE this post if you think he should win, COMMENT below with the name of your favorite song by him”
Comment, Shares na Likes zinazidi kuongezeka kwa upande wa Diamond kitu kinachoonyesha kuwa anakubalika zaidi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni