Picha hizi amepiga akiwa kwenye red carpet ya CFDA Fashion Awards huko New York.
Rihanna amewahi kuacha gumzo mara nyingi kutokana na picha zake
zinazosambaa mtandaoni. Mara nyingine tena picha za Rihanna ndio
zinakuwa picha zinazoangaliwa sana hivi sasa kwenye mtandao.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni