Jumatatu, 2 Juni 2014

RAIS KIKWETE NA DIAMOND USO KWA USO, MANHATTAN, NEW YORK JIONEE HAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dr. Jakaya Mrisho Kikwete masaa machache yaliyopita alipokutana na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, Manhattan, katika jiji la New York.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni