Jumamosi, 7 Juni 2014

SHILOLE AZUA BALAA BAADA YA KUPOST PICHA HII MTANDAONI




Mwanadada Anayekoma na jiji anajulikana kwa Jina la Shilole au ukipenda unaweza kumwita Shishi ,Amenaswa na Camera zetu zetu live akiwa 

 chumbani na Serengeti boys Nuh Mziwanda A.K.A Mzee wa Msondongoma wakiwa wanakomaa na jiji kama unavyowaona kwenye picha hapo wakiwa wanadendeka bila uwoga

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni