Jumatano, 11 Juni 2014

NYOTA WA KOMBE LA DUNIA WENYE MAGARI MAKALI ZAIDI, HAWA HAPA NA HAYA HAPA...ETO'O KATISHAAA!!

WAKATI Fainali za Kombe la Dunia zinaanza keshokutwa, KENGETE BLOG inakuletea wanasoka wenye magari mazuri zaidi, ambao watacheza michuano hiyo mwaka huu nchini Brazil.
Ama ukitazama ubora wa Maybach, au kasi ya Ferrari, nyota hao hakika wan a fedha za kuchoma kwa ajili ya mafuta.

Cristiano Ronaldo ana Lamborghini Aventador LP 700-4 la Pauni 267,000.








Ina kasi sana: Ronaldo akiendesha Lamborghini Aventador LP 700-4 akiwa na mtoto wake kiume





Lionel Messi ana Maserati GranTurismo MC Stradale la Pauni 107,000.







Nzuri zaidi: Lionel Messi akiwa amepaki gari lake eneo la Maserati mjini Barcelona



Wayne Rooney ana Aston Martin Vanquish la Pauni 166,000








Wazza: Wayne Rooney akiwasili mazoezini Manchester United na Aston Martin Vanquish lake

Samuel Eto’o ana Maybach 57 S Xanatec Coupe ambazo kila moja ina thamani ya Pauni 600,000








Mwanga: Samuel Eto'o akiwa na Maybachs zake, ambazo zote zina thamani ya Pauni Milioni 4million

Mario Balotelli ana Ferrari F12 ambazo thamani yake halisi haijatajwa









Nyota dunia inamjua: Balotelli na juu ni gari lake



Neymar ana Audi R8 GT la Pauni 148,000









Mambo ya Samba: Neymar akiendesha Audi R8 lake la Pauni 150,000

Ribery ana Lamborghini Gallardo LP560-4 Spyder la Pauni 133,000,








Chombo cha moto: Franck Ribery japokuwa atakosa Kombe la Dunia kwa sababu ya majeruhi, lakini naye ana Lamborghini Gallardo la kumfariji

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni