KAMA kawa, leo
katika Exclusive Interview tunaye mwigizaji Rose Ndauka ambaye anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni.Kwenye maisha yake ya sanaa, amepitia mambo mengi ambayo yanasisimua, katika makala haya utayapata kwa ukamilifu wake:
ALIVYOANZA KUIGIZA
Ilikuwa ni mwaka 2007, Dairekta na muigizaji wa filamu nchini, Single Mtambalike ‘Rich’ alimshawishi Rose Ndauka aingie kwenye tasnia ya sanaa.
Ilikuwa ni mwaka 2007, Dairekta na muigizaji wa filamu nchini, Single Mtambalike ‘Rich’ alimshawishi Rose Ndauka aingie kwenye tasnia ya sanaa.
Kama
bahati, Rose alikuwa akienda kumtembelea rafiki yake katika Kundi la
Kamanda ambalo Rich alikuwa akiigiza, ndipo akashawishiwa kujiunga na
sanaa.
Rich,
wasanii wenzake akiwemo Baba Haji, JB, alipomuona kwa mara ya kwanza
aligundua kabisa kuwa Rose anaweza kuigiza ila alikuwa hajajitambui,
hivyo baada ya kuoneshwa njia, fasta akaitumia fursa.
ALIPENDA KUTAZAM
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni