Ijumaa, 23 Mei 2014

RAISI WA NIGERIA ATOA TAMKO KUHUSU WASICHANA 200 WALIOTEKWA

Raisi wa Nigeria, Goodluck Jonathan ametoa
tamko la kwamba hakuna maswali ya kuhusu kubadilishana watoto wa kike waliotekwa na Boko haram mwezi mmoja uliopita na wafungwa ambao wanashikiriwa na Serikali.
Ni mwezi mmoja sasa tangu kikundi cha kigaidi kiwateke watoto wa kike 200 katika jibo la Borno nchini Nigeria

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni