Jumapili, 25 Mei 2014

REAL MADRID OYEEEEEEEEEEEE


Timu ya Real Madrid imetwaa Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuifunga Atletico Madrid mabao 4-1 muda wa nyongeza kwenye fainali iliyochezwa Lisbon, Ureno.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni