kwa sasa inasemekena ana uhusiano wa kimapenzi na mmoja kati ya wakina dada wanaotokea kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Jini Kabula,Soudy Brown kaongea na Madee ambapo hiki ndicho
alichokizungumza
Madee baada ya swali hilo. Madee>>’Mimi bado sitoki mtu,nikiwa
tayri nitawaambia mbona mwanzi nilipokuwa natoka na Yule wa mwanzo
niliwaambia kwa hiyo ikiwa tayari nitawaambia,huyo kabula mi mshkaji
wangu kuna kazi tunafanya itakuja mtaona.Soudy Brown alipomuuliza kuwa mbona mtaani wanaonekana sana wakiwa pamoja kama madukani,kuogelea na sehemu tofauti Madee amejibu >>’Hakuna kitu kama hicho.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni