Jumatano, 28 Mei 2014

MSANII MAARUFU WA BONGO MUVI AFARIKI DUNIA ...!!!

Rachel Haule ‘Recho' enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho,’ amefariki dunia jana asubuhi. Marehemu amepoteza maisha mara baada ya kujifungua. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni