Jumamosi, 31 Mei 2014
Jumatano, 28 Mei 2014
Jumatatu, 26 Mei 2014
Jumapili, 25 Mei 2014
SABABU ZILIZOPELEKEA UCHAGUZI WA MALAWI KUFUTWA NA KUJIENGUA KWA RAIS BANDA KATIKA KINYANG'ANYILO HICHO
Rais
Joyce Banda wa Malawi
MAXIMO KUTUA JANGWANI KUINO YANGA
KOCHA
wa zamani wa timu ya taifa (Taifa Stars), Mbrazili, Marcio Barcellos
Maximo, amesema yuko tayari kuchukua nafasi ya Hans van Der Pluijm na
kuinoa Yanga.
Maximo, 52, amesema anachotaka ni ofa nzuri ili aje nchini kuinoa Yanga kwa kuwa sasa mkataba wake na kikosi cha Fracana unakwenda ukingoni na yuko huru.
Habari za uhakika kabisa kwa asilimia kubwa, Maximo akishirikiana na mwakilishi wake hapa nchini, amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji na wamefikia makubaliano kwa zaidi ya asilimia 90.“Kweli kumekuwa na mazungumzo kati ya Manji na Maximo, kocha amekubali kuja na hata mwakilishi wake amethibitisha hilo.
“Unajua mwanzo kocha alikuwa na mkataba na timu yake kule Brazil, sasa mwenyekiti akamuwekea ngumu na suala la kuvunja mkataba likaingia kuwa na fedha nyingi sana ili uvunjwe, Yanga wakashindwa.
“Lakini safari hii nimezungumza naye na kaniambia yuko tayari kuja, ameishafanya mazungumzo na Manji kuhusiana na kuja kwake na amekubali,” kilieleza chanzo cha uhakika.
“Safari hii ni tofauti kabisa na ilivyokuwa awali, Maximo yuko tayari kuja na yuko huru. Ameniambia anataka kuja kuifundisha Yanga,” kiliongeza chanzo.
Juhudi za kumpata Manji kwa siku mbili hizi zilifanikiwa lakini alisema yuko nje ya nchi kikazi, alipoulizwa kuhusiana na suala la Maximo, akasema atajibu baada ya kurudi nchini baada ya siku mbili.
Championi: Lakini tungependa kujua kuhusu suala la Maximo.
Manji: Mnaonaje mkisubiri nitakaporejea baada ya siku chache?Pamoja na kufanya mazungumzo na Maximo, Yanga imeendelea kufanya mazungumzo na makocha wengine kupitia msaada wa Pluijm ambaye pia anawatafutia wachezaji. Iwapo watashindwa dau la Mbrazili huyo tena, basi watachukua kocha atakayependekeza.
Maximo aliiwezesha Tanzania kucheza michuano ya Afrika tangu mwaka 1980 ilipocheza Kombe la Mataifa Afrika baada ya kuivusha Taifa Stars hadi katika michuano ya Chan nchini Ivory Coast lakini ikatolewa na Zambia hatua ya makundi.
Maximo alikuwa kati ya makocha waliokuwa wanatakiwa kuinoa Yanga miaka miwili iliyopita, lakini ikashindikana baada ya mwenyekiti wa timu anayoifundisha kuweka ngumu na Yanga ikamtwaa Mbelgiji, Tom Saintfiet.
Championi: Sawa, lakini angalau tujue kama kweli mmezungumza na Maximo.
Manji: Ok, tumewasiliana, lakini si wakati wa kusema tumewasiliana kuhusu nini. Kweli inawezekana ni masuala ya mpira au mambo binafsi.
Taarifa nyingine zinasema Maximo ameshaanika dau lake na yuko tayari kuja kama Yanga watampatia anachokitaka.

Jumamosi, 24 Mei 2014
ROSE NDAUKA AFUNGUKA,ATOA SIRI YA KUACHA UKICHECHE NA KUTULIA KWA MWANAUME MMOJA!!! ADAI BORA NJIA KUU KWA SASA
Mwigizaji maarufu wa filamu za kibongo Rose Ndauka akiwa na mumewe Maliki
Ijumaa, 23 Mei 2014
RAISI WA NIGERIA ATOA TAMKO KUHUSU WASICHANA 200 WALIOTEKWA
Raisi
wa Nigeria, Goodluck Jonathan ametoa
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)