Alhamisi, 24 Aprili 2014

MKE WA PETER WA P SQUARE AMETOA JIBU LA SHUTMA ZA KUSABABISHA UGOMVI WA KUNDI HILO


Wakati mashabiki wa kundi la
muziki linaloiwakilisha vizuri Afrika kidunia P-Square kutoka Nigeria wanaendelea kuwaombea ndugu hao wamalize tofauti zao, mke wa Peter Okoye aitwaye Lola Omotayo, amevunja ukimya kwa kuzungumza baada ya ripoti kumtaja kuwa sehemu ya chanzo cha matatizo ya familia hiyo yaliyojitokeza.
Kupitia ukurasa wake wa facebook Lola ambaye ni mama wa watoto wawili wa Peter ameandika:

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni